kwenye kamusi
Lugha ya Alama ya Marekani
Lugha ya Alama ya Marekani, inayojulikana kama ASL, ni mfumo wa mawasiliano kwa alama uliobuniwa kwa ajili ya jamii ya viziwi nchini Marekani na Kanada. Lugha hii ina mambo mengi zaidi yanayofanana na Lugha ya Alama ya Ufaransa kuliko Lugha ya Alama ya Uingereza. ASL pia imetumika katika utafiti wa kisayansi, hasa katika kuwafundisha nyani wakubwa njia za mawasiliano zinazofanana na za binadamu.