kwenye kamusi

Lugha ya ndani ya kikundi

Lugha ya ndani ya kikundi (au “jagoni”) ni lugha au lahaja maalumu inayoundwa na kutumiwa na kikundi fulani cha kijamii au kitaaluma. Mara nyingi huwa na msamiati, virai na misemo maalumu ambayo inaweza kutoeleweka au kuwa vigumu kueleweka kwa watu wasio wanachama wa kikundi hicho. Kwa kawaida, lugha hii huundwa ili kudumisha usiri na kuwatambulisha wanachama wa kikundi.

Mifano yake ni pamoja na jagoni za kitaaluma (kwa mfano, jagoni ya kitabibu na jagoni ya kisheria), jagoni za vikundi vya wahalifu (kwa mfano, jagoni ya magenge ya mitaani), pamoja na misemo na istilahi za lugha ya mtaani inayotumiwa na vijana.