kwenye kamusi
Tabia
Tabia ni mkusanyiko fulani wa sifa za mtu. Inaweza kuwa nzuri au mbaya. Sifa hizi huathiri jinsi mtu anavyojiendesha na kuitikia matukio. Kila mtu ana tabia yake mwenyewe, nayo hujengeka kutokana na athari za mambo mengi kama vile vinasaba, malezi na uzoefu wa maisha.