kwenye kamusi
Wivu
Wivu (envy) ni hisia inayotokea mtu anapokerwa au kutoridhishwa na ustawi, mafanikio au mambo aliyotimiza mtu mwingine. Katika hali zilizokithiri, wivu unaweza kukua na kuwa chuki na tamaa ya kumwona mtu mwingine akiwa na huzuni au akishindwa.