kwenye kamusi
Usingizi
Usingizi ni hali ya shughuli za kibiolojia ambapo mtu huwa katika hali ya kutotenda na kupoteza fahamu kwa kipindi fulani, kwa kawaida ikiambatana na maono, taswira au matukio mbalimbali, na huwa na mwitikio mdogo kwa vichocheo vya nje. Mchakato huu wa kifiziolojia huuwezesha mwili kujirekebisha na kurejesha nguvu za kiakili na kimwili.